Roshoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Roshoro ni chakula ambacho kinatokana na mchemsho wa ndizi za kusaga.

Imetokana na kabila la Wameru.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roshoro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.