Nenda kwa yaliyomo

Rosenda Monteros

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rosenda Monteros


Rosenda Monteros
Amezaliwa 31 Agosti 1935 (1935-08-31) (umri 89)
Veracruz, Veracruz, Mexiko
Ndoa Julio Bracho (1955 - 1957)

Rosenda Monteros (amezaliwa 31 Agosti 1935) ni mwigizaji wa filamu wa Mexiko.

Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Petra, yule msichana aliyekutwa na Chico katika msitu, katika filamu ya The Magnificent Seven.

Baadhi ya filamu alizocheza

[hariri | hariri chanzo]
  • A Woman's Devotion (1956) kacheza kama María
  • Villa!! (1958) kacheza kama Marianna
  • Nazarin (1959) kacheza kama La Prieta
  • The Magnificent Seven (1960) kacheza kama Petra
  • Tiara Tahiti (1962) kacheza kama Belle Annie
  • The Mighty Jungle (1964) kacheza kama Orica
  • She (1965) kacheza kama Ustane
  • Savage Pampkacheza kama (1966) kacheza kama Rucu
  • The Face of Eve (1968) kacheza kama Conchita
  • Coleccionista de cadáveres, El (1970) kacheza kama Valerie

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosenda Monteros kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.