Rose Cousins
Mandhari
Rosanne Millicent "Rose" Cousins (alizaliwa Aprili 21, 1977) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Kanada anayeimba muziki wa folk-pop. Alizaliwa na kukulia kwenye Prince Edward Island, na kwa sasa anaishi Halifax, Nova Scotia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Farrow, Johnston (15 Februari 2007). "Rose's garden". The Coast. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2015.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rose Cousins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |