Rose Boyata Monkaju
Mandhari
Rose Boyata Monkaju ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Waziri wa Masuala ya Kijamii wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo chini ya serikali ya Sylvestre Ilunga Ilunkamba, ambayo ilidumu kuanzia Septemba 2019 hadi Aprili 2021. Pia ni mbunge wa bunge la taifa.[1]
Yeye ni mwanachama wa chama cha Union for Democracy and Social Progress.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Marina. "Democratic Republic of Congo announces 65-strong cabinet under Tshisekedi's administration - Political Analysis South Africa". www.politicalanalysis.co.za (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-29. Iliwekwa mnamo 2026-05-26.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rose Boyata Monkaju kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |