Nenda kwa yaliyomo

Rosalio José Castillo Lara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rosalio José Castillo Lara S.D.B. (4 Septemba 192216 Oktoba 2007) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Venezuela.

Alifanya kazi katika Baraza la Kipapa kwa karibu maisha yake yote ya kikuhani, mwanzoni akihusika na uandishi upya wa Mkusanyo wa Sheria za Kanisa, na baadaye katika nafasi za kiutawala katika serikali ya Vatikani. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1985.[1]

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LXVII. 1975. uk. 160. Iliwekwa mnamo 20 Juni 2020. Segretario della Pontificia Commissione per la Revisione del Codice di Diritto Canonico{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.