Nenda kwa yaliyomo

Rosa Bailly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rosa Bailly (alijulikana pia kama Rosa Dufour-Bailly na Aimée Dufour; 14 Machi 1890 – 14 Juni 1976) alikuwa mwalimu, mwandishi wa habari, na mwandishi kutoka nchini Ufaransa ambaye katika maisha yake yote ya kikazi alikuwa amejiunganisha kwa karibu sana na harakati za nchi ya Polandi pamoja na fasihi ya nchi hiyo. Pia alikuwa mshairi.[1]

  1. "Rosa Bailly katika Wikipedia ya Kiingereza" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosa Bailly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.