Ronika Tandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kazi ya Sanaa ya Ronika Tandi

Ronika Tandi (alizaliwa Kariba, Zimbabwe, mnamo mwaka 1975) ni msanii na mchongaji wa sanamu wa Zimbabwe.

Awali alijulikana kwa uchongaji mawe, mara nyingi zenye kufurahisha, sura isiyo naksishiwa ambayo huwa kama jiwe halisia.[1][2][3][4]

Tandi alizaliwa pembezoni mwaziwa Kariba, mnamo mwaka 1975.[1][2][5] Ndugu zake wengi wa kuzaliwa ni wasanii wa sanaa za uchongaji wa mawe.[1]

Alisoma kwenye National Gallery huko Zimbabwe karakana la BAT mnamo mwaka 2007.[2][6] Mchongaji mwenzake Eddie Masaya alikuwa muhamasishaji wa kwanza muhimu katika kazi yake.[5][7]

Mnamo mwaka 2006, Kazi ya Tandi ilionyeshwa kwenye bustani ya ubalozi wa Ujerumani katika mji wa Harare.[5]Aligawanya muda wake kati ya Zimbabwe najerumani, ambapo aliendesha sanaa ndogo ya Zim Afrika Gallery.[2][8][4] Mnamo mwaka 2011, Aliwakilisha Wachongaji wa Zimbabwe katika ufunguzi wa 54th Venice Biennale.[2]

Pamoja na viongozi wa Shule ya Emerald Hill ya Zimbabwe kwa viziwi, ambapo alijitolea tangu mwaka 2007, mnamo mwaka 2011 'Tandi alianzisha kituo cha sanaa cha Shungu. Kituo kilijizatiti katika kusajili wanafunzi wa shule na kuwaandaa kwa ajili ya kazi ya sanaa.[1] Pia ni mwanzilishi wa ushiriki wa Takunda Shungu Trust, ambao umesaidia kufundisha watoto viziwi na watoto wengine ambao ni walemavu, na kukuza kazi ya wanasanaa viziwi.[9][10][11]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Makoni, Jane. "Stone carving centre gives work to deaf children", The Zimbabwean, 2012-05-01. Retrieved on 2021-03-20. Archived from the original on 2012-10-07. 
 2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 Zimoyo, Tafadzwa (2018-10-22). Sculptor takes four-years of meditation (en-GB).
 3. Aus Afrika nach Hembach (de) (2020-05-25).
 4. 4.0 4.1 Lozina, Kristian (2016-08-09). Kulturbotschafter aus Simbabwe in Hohenroth (de).
 5. 5.0 5.1 5.2 Ausstellung AFRIKA vom 9. Juni bis 31. Juli in der Foyer-Galerie (de) (June 2011).
 6. "Zimbabwe: Economic Woes a Passing Phase", The Herald, 2007-11-28. 
 7. Monda, Tony (2015-09-17). Gender from an African perspective in stone sculpture (en-US).
 8. Alpirsbach: Der Stein wird zum Partner (de) (2016-04-29).
 9. Mögele, Bastian (2018-11-18). Neues von Takunda Shungu Trust (de-DE).
 10. Shungu Trust for Deaf Youths to hold art exhibition (en-GB) (2020-01-29). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-02-14. Iliwekwa mnamo 2021-03-20.
 11. Schlossparkrunde: Bernhard „Bam“ Epple will 219 Kilometer laufen (de) (2020-08-25).
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronika Tandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jamii[hariri | hariri chanzo]