Nenda kwa yaliyomo

Rolls-Royce Spectre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
20Rolls-Royce Spectre

Rolls-Royce Spectre ni gari la kwanza la umeme kutengenzwa na kampuni ya Rolls-Royce Motor Cars, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea ajenda ya kampuni hiyo ya kuwa na magari ya umeme pekee kufikia hapo 2030.

Gari hili la kifahari lilizinduliwa rasmi mnamo 2023, na linachukuliwa kuwa ni kama urithi wa gari aina ya Wraith kwa upande wa muundo.[1]

Sifa Muhimu

[hariri | hariri chanzo]
  • Muundo: Coupe ya mlango miwili, iliyotengenezwa kwa muundo wa kifahariwa Aluminium iitwayo Architecture of Luxury.
  • Nguvu : Linatoa nguvu ya hadi 577 hp na torque ya 900 Nm, likiwa na uwezo wa kutoka 0 hadi 100 km/h kwa sekunde 4.4.
  • Betri : Betri ya 102 kWh inayowezesha gari kukaa na chaji hadi takriban 520 km kwa mujibu wa vipimo vya WLTP.
  • Ndani ya Gari : Ina mfumo wa infotainment ya kisasa unaoitwa SPIRIT, pamoja na teknolojia ya Rolls-Royce Connected kwa mawasiliano ya gari na mmiliki kupitia simujanja.
  • Kifahari : Inaelezwa kuwa moja ya magari ya umeme ya kifahari zaidi kuwahi kutengenezwa, ikiwa na viwango vya hali ya juu vya utulivu, ukimya na starehe.


  1. ↑ "The Rolls-Royce Spectre Is Almost a Great EV". Wired (kwa American English). 3 Julai 2023. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2023.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.