Nenda kwa yaliyomo

Rolandas Makrickas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rolandas Makrickas (alizaliwa 31 Januari 1972) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Lithuania ambaye amehudumu kama askofu msaidizi wa basilika la Santa Maria Maggiore tangu 2024.

Alifanya kazi katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani kuanzia 2006 hadi 2021, ambapo alipewa jukumu la kurekebisha utawala wa basilika hiLo. Alipandishwa cheo cha askofu mkuu binafsi mwaka 2023.

Aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Fransisko mnamo 7 Desemba 2024.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.