Nenda kwa yaliyomo

Roho kutwaa mwili mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Kihindu kuhusu imani hiyo.

Roho kutwaa mwili mpya baada ya ule wa awali kufa (kwa Kiingereza: Reincarnation) ni imani ya falsafa na dini mbalimbali, hasa za Asia Mashariki[1][2], kwa msingi wa kwamba roho haiwezi kufa, hivyo inaweza kuishi tena katika mwili wa mtu au mnyama mwingine.

Ingawa baadhi ya Wakristo wameathiriwa na imani hiyo, Kanisa Katoliki.[3] na madhehebu mengine yanaikataa katakata kwa kushikilia hasa dondoo la Eb 9:27-28: "Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu, kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu".

  1. McClelland, Norman C. (2010). Encyclopedia of Reincarnation and Karma. McFarland. ku. 24–29, 171, 259. ISBN 978-0-7864-5675-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-26. Iliwekwa mnamo 2016-09-25.
  2. Juergensmeyer, Mark; Roof, Wade Clark (2011). Encyclopedia of Global Religion. SAGE Publications. ku. 271–272. ISBN 978-1-4522-6656-5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-31. Iliwekwa mnamo 2016-09-25.
  3. "Catechism of the Catholic Church". United States Conference of Catholic Bishops. uk. 264. There is no 'reincarnation' after death (n°. 1913).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.