Nenda kwa yaliyomo

Rogue (komiki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rogue (Ayari)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza Avengers Annual #10 (Ago. 1981)
Waumbaji Chris Claremont
Michael Golden
Maelezo
Jina halisiAnna Marie
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
XSE
Brotherhood of Evil Mutants
Lakabu mashuhuriAnna Raven, Dr. Kellogg, Miss Smith
UwezoKufyonza nguvu za wengine kwa njia ya kugusa ngozi

Rogue (Kiswahili: Ayari) ni mhusika wa ulimwengu wa Marvel Comics. Aliumbwa na mwandishi Chris Claremont na mchoraji Michael Golden, na alijitokeza chapa #10 ya Avengers Annual (Agosti 1981) kama mbovu. Rogue alizaliwa kama mutanti. Kwa njia ya kugusa ngozi, anaweza kufyonza kumbukumbu, nguvu na uwezo wa ziada kutoka kwa wengine.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rogue (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.