Roger William Gries
Mandhari
Roger William Gries, O.S.B. (alizaliwa 26 Machi 1937) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Yeye ni miongoni mwa wachache waliokuwa mapadre wa shirika la kitawa na baadaye kuteuliwa kuwa maaskofu.
Gries aliwahi kuhudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Cleveland, Ohio, kutoka 2001 hadi 2013. Kabla ya hapo, alikuwa abate wa Abasia ya Mtakatifu Andrea huko Cleveland kuanzia 1981 hadi 2001.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rutti, Ron; Dealer, The Plain (2013-11-02). "Cleveland Catholic Diocese Auxiliary Bishop Roger Gries retires, but will continue his work". cleveland (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-08.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |