Roger Kornberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Kornberg

Roger David Kornberg (amezaliwa 24 Aprili 1947) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali na sifa za DNA. Mwaka wa 2006 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Tena, yeye ni mwana wa Arthur Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Kornberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.