Rogelio Esquivel Medina
Mandhari
Rogelio Esquivel Medina (18 Juni 1940 – 20 Juni 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko aliyewahi kuwa Askofu Msaidizi wa México kutoka 2001 hadi 2008.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |