Nenda kwa yaliyomo

Rogatus Kimaryo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rogatus Kimaryo, C.S.Sp. (alizaliwa 30 Oktoba 1956) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania. Yeye ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Same, Tanzania tangu mwaka 2010. Aliteuliwa kuwa askofu tarehe 30 Aprili 2010 na Papa Benedikto XVI.[1]

  1. David M. Cheney (25 Februari 2024). "MicroData Summary for Bishop Rogatus Kimaryo C.S.Sp. (born 30 October 1956), Bishop of Same". Catholic-Hierarchy.org. Kansas City. Iliwekwa mnamo 24 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.