Rodrigo Duterte
Jump to navigation
Jump to search
Rodrigo Roa Duterte (pia anajulikana kama Digong na Rody; amezaliwa tarehe 28 Machi 1945) ni mwanasiasa wa Ufilipino ambaye ni Rais wa 16 wa Ufilipino.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Duterte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |