Nenda kwa yaliyomo

Rodrigo De Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rodrigo De Paul

Rodrigo Javier De Paul (tamka kwa Kihispania: Rodrigo De Paul; alizaliwa 24 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina, anayesoma nafasi ya kiungo.

Kwa sasa anachezea klabu ya Inter Miami inayoshiriki Major League Soccer (MLS), pamoja na timu ya taifa ya Argentina.

Kazi ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Racing Club

[hariri | hariri chanzo]

De Paul alizaliwa Sarandí, Buenos Aires, na alijiunga na mfumo wa akademi ya vijana wa Racing Club mwaka 2002, akiwa na umri wa miaka 8.

Tarehe 24 Juni 2012, akiwa bado mchezaji wa vijana, aliitwa katika kikosi cha kwanza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Vélez Sarsfield. Hata hivyo, hakutumia nafasi ya kucheza katika mchezo huo, ambao Racing Club ilifungwa 1–2 nyumbani.

Heshima na Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Inter Miami

[hariri | hariri chanzo]

Argentina 🇦🇷

[hariri | hariri chanzo]
  • Kombe la Dunia la FIFA: 2022
  • Copa América: 2021, 2024
  • CONMEBOL–UEFA Cup of Champions (Finalissima): 2022

Mafanikio Binafsi

[hariri | hariri chanzo]
  • Copa América – Kikosi Bora cha Mashindano: 2021, 2024
  • IFFHS Men's CONMEBOL Team: 2021, 2022
  • La Liga – Kikosi Bora cha Msimu: 2024–25
  • MLS All-Star: 2026 [1][2]
  1. ↑ https://en.atleticodemadrid.com/jugadores/rodrigo-javier-de-paul-2024-2025-2
  2. ↑ https://www.bdfutbol.com/en/j/j18142.html
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo De Paul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.