Nenda kwa yaliyomo

Rodrigo Aliendro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rodrigo Germán Aliendro (alizaliwa tarehe 16 Februari 1991) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya kiungo wa kati kwa klabu ya Vélez Sarsfield inayoshiriki Ligi Kuu ya Argentina (Argentine Primera División).[1][2]

  1. Rodrigo Aliendro, nuevo refuerzo de Colón, tycsports.com, 20 June 2019
  2. "Alejandro Melo y Gervasio Núñez, las nuevas caras del Decano". TyC Sports. 6 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Aliendro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.