Rodrigo Acosta
Mandhari
Rodrigo Damián Acosta (alizaliwa 5 Mei 1990) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga kama mshambuliaji, na kwa sasa anachezea klabu ya Central Norte.
Acosta amewahi kucheza katika klabu mbalimbali nchini Argentina zikiwemo Los Andes, Sacachispas na Almirante Brown.[1][2]
Nje ya Argentina, Acosta amewahi kucheza katika klabu za Deportes Concepción nchini Chile, Los Chankas nchini Peru na Juventud Las Piedras nchini Uruguay.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Argentina - R. Acosta - Profile with news, career statistics and history - Soccerway".
- ↑ "Rodrigo Acosta, el regreso de un campeón". El1 (kwa Kihispania). 22 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rodrigo Acosta". livefutbol.com (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |