Rodolfo Cota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rodolfo Cota (alizaliwa 3 Julai 1987) ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye anacheza katika klabu ya León kama kipa.

Pachuca[hariri | hariri chanzo]

Rodolfo Cota alifanya kazi yake ya kwanza katika klabu ya Pachuca tarehe 21 Septemba 2007 dhidi ya klabu ya Veracruz.

Puebla[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2014 ilitangazwa kuwa Rodolfo Cota alisajiliwa kwa mkopo katika klabu ya Puebla.

Guadalajara[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 11 Juni 2015 klabu ya Guadalajara walitangaza kuwa wamemsaini mchezaji machachari Rodolfo Cota kwa mkopo. Katika msimu wa 2017 Cota akawa mshindi katika kombe la Copa MX.

León[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 16 Mei 2018, alikuwa mchezaji kamili wa klabu ya León.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodolfo Cota kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.