RoboRoach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

RoboRoach ni mfululizo wa kipindi cha katuni kinachohusu mende wawili walio ndugu wanaoishi katika mji uitwao Vexberg.

Wahusika wakuu wa katuni hii ni:

  1. Ruben. Huyu ni mende aliyepata nguvu za kuwa mende shujaa baada ya kufanyiwa jaribio la kisayansi na kujipachika katika soketi ya umeme iliyosababisha kupata nguvu za kulinda wadudu walio katika mji wao wa vexberg.Mende huyu ana tabia za kitoto ana aibu na pia ana amini kila kitu anachoambiwa.mende huyu ana jali sana wengine kuliko yeye mwenyewe,hapendi kupongezwa kwa kila anachokifanya hiyo ndiyo sababu yeye ni maskini.
  2. Reginald. Ni kaka mkubwa wa Ruben anayetamani kuwa tajiri lakini hushindwa. Anapenda kutumia nguvu za mdogo wake k.upata utajiri lakini kila wakati anashindwa kwa sababu mdogo wake Rube hurudisha zawadi anazo zawadiwa kwa kusema "tendo jema ni thawabu yake mwenyewe" kitu kinacho msababisha Reginald aache tabia za kichoyo, hasira kali na kujijali mwenyewe.
Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu RoboRoach kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.