Robin Le Normand
Mandhari
Robin Aimé Robert Le Normand (amezaliwa 11 Novemba, 1996) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayocheza kama beki wa kati wa klabu ya Atlético Madrid inayoshiriki La Liga, pamoja na timu ya taifa ya Hispania. Ingawa alizaliwa nchini Ufaransa, anaiwakilisha Hispania kimataifa.
Le Normand alianza kariya yake ya kitaalamu nchini Ufaransa akiwa na Stade Brestois 29, ambako alicheza mechi moja tu katika timu ya kwanza, kabla ya kujiunga na klabu ya Hispania ya Real Sociedad mwaka 2016.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stade Brestois: Robin Le Normand rejoint la Real Sociedad" [Stade Brestois: Robin Le Normand joins Real Sociedad] (kwa Kifaransa). Ouest-France. 4 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FC Sochaux-Montbéliard 1–0 Stade Brestois 29". Ligue 1. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robin Le Normand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |