Nenda kwa yaliyomo

Roberto Rivellino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rivellino (1974)

Roberto Rivellino (alizaliwa 1 Januari 1946) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Brazil. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Brazil.

Rivellino ameichezea timu ya taifa ya Brazil tangu mwaka wa 1965. Rivellino alicheza Brazil katika mechi 91, akifunga mabao 26.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Brazil
MwakaMechiMagoli
196510
196600
196700
1968176
196911
197085
197171
197250
197393
1974156
197500
197681
1977123
197880
Jumla9126
  1. 1 2 Roberto Rivellino at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Rivellino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.