Roberto Pereyra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pereyra akiwa Juventus.

Roberto Maximiliano Pereyra (alizaliwa 7 Januari 1991) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza katika timu ya Uingereza Watford na timu ya taifa ya Argentina. Mchezaji huyu anatumia mguu wa kulia, nafasi anazocheza ni kiungo mshambuliaji na winga wa kushoto au wa kulia.

Tarehe 25 Julai 2014 Pereyra alisajiliwa rasmi na klabu ya Juventus ya Serie A kwa ada ya milioni 14 kutoka Udinese.

Tarehe 19 Agosti 2016, Pereyra ilihamia Watford kwenye mkataba wa miaka mitano kwa ada milioni 13. Alipewa jezi namba 37 mgongoni katika msimu ule wa 2016-17.

Pereyra akiwa Watford.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Pereyra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.