Roberto Orci
Roberto Gaston Orcí (20 Julai 1973 – 25 Februari 2025) alikuwa mwandishi na mtayarishaji wa filamu na televisheni kutoka Mexico na Marekani. Alianza kushirikiana kwa muda mrefu na Alex Kurtzman wakiwa shuleni California. Pamoja walifanya kazi kwenye vipindi vya televisheni kama Hercules: The Legendary Journeys na Xena: Warrior Princess. Mwaka 2008, kwa kushirikiana na J. J. Abrams, walianzisha Fringe. Mwaka 2013, walianzisha Sleepy Hollow pamoja na Phillip Iscove. Mradi wao wa kwanza wa filamu ulikuwa The Island wa Michael Bay, na kutokana na ushirikiano huo walijiandikia scripts za filamu za kwanza mbili za mfululizo wa Transformers. Orcí alianza kuwa mtayarishaji filamu ya Eagle Eye ya mwaka 2008 na ya The Proposal ya mwaka 2009. [1][2][3][4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pascale, Anthony (Julai 1, 2010). "Star Trek Writer Roberto Orci Reveals Personal Connection To Spock". TrekMovie.com. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Boucher, Geoff (Machi 29, 2009). "'Star Trek' scribes have a partnership that has lived long and prospered". Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo Machi 5, 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Goldberg, Matt (Aprili 26, 2012). "Ehren Kruger Returns to Write TRANSFORMERS 4; Shia LaBeouf Definitely Out". Collider. Iliwekwa mnamo Februari 20, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Radish, Christina (Septemba 16, 2013). "Executive Producers Alex Kurtzman and Roberto Orci Talk SLEEPY HOLLOW, a New Version of Ichabod Crane, Making the Mythology Accessible, and More". Collider. Iliwekwa mnamo Februari 19, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Whittaker, Richard (Julai 15, 2014). "Roberto Orci Grabs the Bull by the Horns for 'Matador'". Austin Chronicle. Iliwekwa mnamo Februari 19, 2015.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Star Trek 2 – Roberto Orci Talks Star Trek Sequel". IGN. Aprili 4, 2011. Iliwekwa mnamo Machi 21, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Woods, Travis (Julai 16, 2012). "'Star Trek 2' Writer Denies Villain Reveal, Announces Trailer Release". ScreenCrave. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 10, 2014. Iliwekwa mnamo Machi 21, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roberto Orci kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |