Nenda kwa yaliyomo

Roberto López Ufarte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Roberto López Ufarte (amezaliwa 19 Aprili, 1958) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alicheza kama mshambuliaji.

Alijulikana kwa jina la utani *“The little devil”*, na sehemu kubwa ya kariya yake ya miaka 15 aliitumia akiwa na Real Sociedad, ambako alicheza misimu 12 na kushinda mataji manne makubwa, yakiwemo mataji mawili ya La Liga.

Pia aliichezea Atlético Madrid na Real Betis na kwa jumla alikusanya mechi 418 na mabao 112 katika mashindano rasmi.[1][2]

  1. Méndez, Juan (3 Julai 1988). "López Ufarte firmó con el Betis por dos temporadas" [López Ufarte signed with Betis for two seasons]. El País (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2 Machi 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ríos, Ricardo (3 Julai 1989). "No hubo milagre en Sevilla" [No miracle in Seville]. Mundo Deportivo (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2 Machi 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto López Ufarte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.