Nenda kwa yaliyomo

Roberto Giusti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Roberto Giusti (1953 au 195422 Januari 2025) alikuwa mwandishi wa habari kutoka Venezuela.

Alifanya kazi katika magazeti mbalimbali yakiwa ni pamoja na El Nacional na El Universal.

Aliandika vitabu vingi vikiwemo Yo Lo Viví, Memorias Inconclusas, na Pasión Guerrilla. Pia alifanya kazi kwa Globovisión TV na alikuwa mtangazaji wa vipindi Primera Página na Grado 33.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Giusti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.