Nenda kwa yaliyomo

Robert de Grandmesnil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert de Grantmesnil alikuwa mwana-jamii mashuhuri wa familia maarufu ya Wavikingi.

Alianza kama mtawa, kisha kuwa abati katika Abbey ya Saint-Evroul huko Normandy, na baadaye aliteuliwa kuwa Askofu wa Troina katika Ufalme wa Kinormandi wa Sicilia.[1]

  1. Ordericus Vitalis, The Ecclesiastical History of England and Normandy, trans. Thomas Forester, Vol. II (London: Henry G. Bohn, 1854), p. 362 & n. 1
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.