Nenda kwa yaliyomo

Robert Smithson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Smithson (Januari 2, 1938 – Julai 20, 1973) alikuwa msanii wa Marekani anayejulikana kwa uchongaji na sanaa ya ardhi(land art) ambaye mara nyingi alitumia uchoraji wa ardhini na upigaji picha angani. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa vuguvugu la sanaa ya ardhi, na kazi yake maarufu zaidi ni Spiral Jetty (1970). Alifariki katika ajali ya ndege akiwa na umri wa miaka 35 wakati akipiga picha eneo la Spiral Jetty kutoka angani.[1]

  1. ↑ Cummings, Paul, "Interview with Robert Smithson", Archive of American Artists oral history webpage, conducted July 14 and 19, 1972. Retrieved July 16, 2013.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Smithson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.