Nenda kwa yaliyomo

Robert F. Morneau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Fealey Morneau (alizaliwa 10 Septemba 1938) ni askofu wa Marekani wa Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo la Green Bay kutoka mwaka 1978 hadi 2013.[1]

  1. "Bishop Robert Fealey Morneau [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-12.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.