Nenda kwa yaliyomo

Robert Enke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Enke (alizaliwa 24 Agosti 197710 Novemba 2009) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ujerumani aliyekuwa akicheza kama golikipa.[1]

Alichezea klabu za Mönchengladbach, Benfica, na Barcelona, lakini alicheza mechi nyingi zaidi akiwa na klabu ya Bundesliga, Hannover 96.[2]

  1. "Goalkeeper Enke confirmed dead". Sporting Life. 365 Media Group. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ein außergewöhnlicher Torwart" (kwa Kijerumani). N24.de. 11 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Enke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.