Nenda kwa yaliyomo

Robert Camilleri Azzopardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Camilleri Azzopardi O.F.M. (24 Aprili 195117 Oktoba 2023) alikuwa kiongozi wa Kikatoliki kutoka Malta ambaye alikuwa askofu wa Jimbo la Comayagua nchini Honduras kuanzia mwaka 2004 hadi kifo chake mwaka 2023.[1]

  1. " Mons. Robert Camilleri of new Auxiliary Bishop in Honduras" Ilihifadhiwa 26 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.. Retrieved on 8 March 2014.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.