Robert Braybrooke
Mandhari
Robert Braybrooke (1336/1337 – 1404) alikuwa kleri katika enzi za kati na Katibu wa Mfalme. Alikuwa Mkuu wa Kanisa Kuu la Salisbury na Askofu wa London.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rochelle, Mercedes (9 Aprili 2017). "Great Seal, Privy Seal, and Signet: What's the difference?". Historical Britain Blog. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |