Nenda kwa yaliyomo

Robert Barron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Askofu Barron huko Minnesota mnamo 2023

Robert Emmet Barron (alizaliwa Novemba 19, 1959) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani ambaye amehudumu kama askofu wa Dayosisi ya Winona–Rochester tangu mwaka 2022.[1]

  1. "Bishop Barron to lead Diocese of Winona-Rochester". La Crosse Tribune (kwa Kiingereza). 2022-06-02.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.