Robati wa Chester
Mandhari
Robati wa Chester (Kilatini: Robertus Castrensis) alikuwa Mwarabu Mwingereza wa karne ya 12. Alitafsiri vitabu kadhaa muhimu vya kihistoria kutoka Kiarabu hadi Kilatini.
Vyanzo vingine vinamtambulisha kama Robati wa Ketton (Kilatini) ambaye pia alikuwa mtafsiri wa Kiarabu-Kilatini katika miaka ya 1140.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Robert of Chester (1915). Algebra of al-Khowarizmi. Macmillan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2009.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)