Rob Sands
Mandhari
Robert Scott Sands (alizaliwa 1958 au 1959) ni mfanyabiashara bilionea nchini Marekani, na mwenyekiti mtendaji na afisa mkuu mtendaji wa zamani wa Constellation Brands, kampuni ya bia, divai na pombe kali iliyo katika majarida ya Fortune 500 iliyoanzishwa na baba yake Marvin Sands.[1]Constellation Brands ndiyo muuzaji mkubwa zaidi wa bia za kiwango cha juu nchini Marekani kwa thamani ya dola, ikiwemo Corona Extra na Modelo Especial[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Forbes profile: Robert Sands". Forbes. Iliwekwa mnamo Oktoba 23, 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Deckert, Andrea (Novemba 20, 2009). "Company leader stays in good spirits". Rochester Business Journal.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rob Sands kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |