Rizine Mzikamanda
Mandhari
Rizine Robert Mzikamanda ni jaji wa Malawi ambaye amehudumu kama Jaji Mkuu wa Malawi tangu alipopewa uteuzi rasmi wa nafasi hiyo tarehe 7 Januari 2022 na Rais wa Malawi Lazarus Chakwera.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Khamule, Owen (Januari 7, 2022). "Justice Mzikamanda appointed new Malawi Chief Justice". Nyasa Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Appointment of Chief Justice". judiciary.mw. Januari 8, 2022. Iliwekwa mnamo Januari 13, 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rizine Mzikamanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |