Riz Possnett
Elliot "Riz" Possnett (alizaliwa mwaka 2003) ni mwanaharakati kutoka Uingereza aliyehusika katika maandamano juu ya mabadiliko ya tabianchi kupitia sehemu ya Mtandao wa UK Student Climate Network na Kundi la Uasi wa Kutoweka tangu mwaka 2019. Possnett amehusishwa na kikundi cha wapinga ufalme kiitwacho No More Royals. Kufikia mwaka 2023, Possnett ni mwanafunzi katika Chuo cha Wadham, Oxford.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Elliot "Riz" Possnett alizaliwa mwaka wa 2003. Wazazi wa Posnett, ambayo ni Liz Watts ni Mtendaji Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Cambridgeshire Kusini na mfanyabiashara aitwaye Robert Possnett ambaye mwenyewe ni mwanaharakati wa mazingira.[1][2][3][4] Possnett alisomea katika Chuo cha Hockerill Anglo European huko Hertfordshire pamoja na Chuo cha Li Po Chun United World kilichopo Hong Kong,nchini China.[5][6][7] Kwa sasa Possnett ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika Chuo cha Wadham katika Chuo Kikuu cha Oxford akisomea Falsafa, siasa na uchumi.
Maisha Binafsi
[hariri | hariri chanzo]Akitambulika kama Riz Possnett na anayetambulika kama waliobadili jinsia pia wanatumia jina Elliot.[2][8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Access Restricted". www.telegraph.co.uk. Iliwekwa mnamo 2025-10-16.
- 1 2 "Four deny deliberately blocking Tower Bridge during climate protest", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2022-11-09, iliwekwa mnamo 2025-10-16
- ↑ Taylor, Matthew (2019-09-30), "'Time is running out': Extinction Rebellion activists on why they risked arrest", The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2025-10-16
- ↑ "Access Restricted". www.telegraph.co.uk. Iliwekwa mnamo 2025-10-16.
- ↑ "GCSE top-grade clean sweep for Hockerill Anglo-European College pupil". Bishop's Stortford Independent (kwa Kiingereza). 2019-08-22. Iliwekwa mnamo 2025-10-16.
- ↑ "Li Po Chun United World College | Hong Kong |". ResearchGate (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-10-16.
- ↑ "Vaccinated in Zimbabwe, unvaccinated in the UK; how geopolitics are holding the Global South hostage – gal-dem". gal-dem.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-03. Iliwekwa mnamo 2025-10-16.
- ↑ "riz (they/them) (@rizpossnett) / Twitter". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-10-16.