Nenda kwa yaliyomo

Rita Cadillac (Brazilian entertainer)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rita de Cássia Coutinho, anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Rita Cadillac (alizaliwa 13 Juni 1954), ni mnenguaji, mwimbaji, na mwigizaji wa Brazil. Alichukua jina lake la kisanii kutoka kwa Rita Cadillac, mnenguaji mashuhuri wa Ufaransa wa miaka ya 1950 na 1960.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rita Cadillac (Brazilian entertainer) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.