Rise of the Guardians

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rise of the Guardians ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2012. Filamu ilitayarishwa na DreamWorks Animation, na kutolewa na Paramount Pictures kwenye makumbi tarehe 10 Oktoba 2012.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. AFI|Catalog. catalog.afi.com. Iliwekwa mnamo 2021-10-10.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rise of the Guardians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.