Nenda kwa yaliyomo

Riki Michele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Riki Michele (jina la awali: Michele Bunch, sasa Michele Palmer) ni mwimbaji wa Marekani.

Alianza kazi yake ya muziki kama msanii wa muziki wa Injili. Anajulikana zaidi kama mmoja wa waimbaji wa Adam Again na pia amerekodi albamu nne za pekee za solo.[1] [2] [3]

  1. Powell, Mark Allan (2002). Encyclopedia of Contemporary Christian Music (tol. la First printing). Peabody, Massachusetts: Hendrickson Publishers. ku. 589–590. ISBN 1-56563-679-1.
  2. Official website (archive)
  3. Dirt Pixie, art studio
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riki Michele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.