Nenda kwa yaliyomo

Richard de Belmeis II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard de Belmeis (alifariki 1162) alikuwa kleri, msimamizi, na mwanasiasa katika enzi za kati.

Kazi yake ilifikia kilele alipochaguliwa kuwa Askofu wa London mwaka 1152. Alikuwa mmoja wa waasisi wa Abasia ya Lilleshall huko Shropshire.[1]

  1. Diana E. Greenway (1968). "Archdeacons: Essex". Fasti Ecclesiae Anglicanae 1066-1300: volume 1: St. Paul's, London. Institute of Historical Research. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.