Nenda kwa yaliyomo

Richard de Belmeis I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard de Belmeis I (au de Beaumais; alifariki 1127) alikuwa kleri, msimamizi, jaji, na mwanasiasa katika enzi za kati.

Akianzia kama mmiliki mdogo wa ardhi na msimamizi huko Shropshire, alikuja kuwa wakala mkuu wa Mfalme Henry I katika Welsh Marches na mwaka 1108 aliteuliwa kuwa Askofu wa London.[1]

  1. T.F. Tout: DNB article
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.