Richard Jenkin
Mandhari
Richard Garfield Jenkin (9 Oktoba 1925 – 29 Oktoba 2002), alikuwa mwanasiasa wa kizalendo wa Cornwall na mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama cha Mebyon Kernow. Pia alikuwa Chifu Mkuu wa Ushairi (Grand Bard) wa taasisi ya Gorseth Kernow.
Lugha ya Kicornish
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 1947, Jenkin aliteuliwa kuwa Mshairi (Bard) wa Gorseth Kernow kupitia sifa zake za ustadi wa lugha ya Kicornish,[1] wakati huo akihudumu katika Jeshi la Uingereza.[onesha uthibitisho] Alichagua jina la kishairi (bardic name) la Map Dyvroeth, lenye maana ya 'mwana wa uhamishoni'.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Deacon, Bernard; Cole, Dick; Tregidga, Garry (2003). Mebyon Kernow and Cornish Nationalism. Wales: Welsh Academic Press. uk. 128. ISBN 1860570755.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Jenkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |