Richard Ernst

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Ernst

Richard Robert Ernst (amezaliwa 14 Agosti 1933) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza na kuboresha mbinu za spektraskopia. Mwaka wa 1991 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Ernst kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.