Richard Clifford
Mandhari
Richard Clifford (alifariki 1421) alikuwa Askofu wa London, ambaye hapo awali alikuwa Askofu wa Worcester, Askofu mteule wa Bath na Wells, na Lord Privy Seal.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Roskell, Clark & Rawcliffe 1993, p. 241
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |