Nenda kwa yaliyomo

Richard Brendan Higgins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Brendan Higgins KC*HS, USAF (alizaliwa 22 Februari 1944) ni askofu wa Kanisa Katoliki mzaliwa wa Eire ambaye baadaye alihamia Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Huduma za Kijeshi, Marekani, kutoka mwaka 2004 hadi 2020.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.