Richard Bancroft
Mandhari
Richard Bancroft (1544 – 2 Novemba 1610) alikuwa kiongozi wa Kanisa la Anglikana, Askofu Mkuu wa Canterbury kuanzia mwaka 1604 hadi 1610, na "msimamizi mkuu" wa tafsiri ya Biblia ya King James.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |