Nenda kwa yaliyomo

Ricardo Vidal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vidal anapokea ishara ya heshima kutoka kwa rais mteule Rodrigo Duterte mnamo Julai 13, 2016.

Ricardo Tito Jamin Vidal (6 Februari 193118 Oktoba 2017) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino.

Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1985 na aliwahi kuwa Askofu Mkuu wa Cebu kuanzia 1982 hadi 2010.[1]

  1. "Cardinal Vidal as one of the First Communicants". International Eucharistic Congress 2016. Julai 6, 2014. Iliwekwa mnamo Oktoba 18, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.