Ricardo Gallego

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ricardo Gallego (alizaliwa 8 Februari 1959) ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid aliyekuwa anacheza katika nafasi ya kiungo.

Alifanikiwa kuchukua taji la UEFA la mwaka 1986.

Alistaafu soka la ngazi ya klabu mwaka 1992 akiwa na klabu ya Rayo Velcano.

Kwa sasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya China.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo Gallego kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.